Furahia Maisha Blog: Michezo
Breaking News
Loading...
Showing posts with label Michezo. Show all posts
Showing posts with label Michezo. Show all posts

14 May 2017

EPL Latest Standings- Msimamo Ligi Kuu Uingereza kwa Sasa


No automatic alt text available.
The ECOWAS Parliament, also known as the Community Parliament, has opened numerous job positions for Africans to apply.
Application Deadline: 22nd June 2017.
To be taken at (country): Abuja, Nigeria
About the Award: ECOWAS Parliament was established by the ECOWAS Revised Treaty of 1993 as one of the Institutions of the Community. The Parliament is the Assembly of the peoples of the Community.
The Administrative Secretariat of the Parliament is headed by a Secretary-General, and consists of two Directorates: the Directorate of Administration and Finance, and the Directorate of Parliamentary Affairs and Research. A number of job vacancies exist at the ECOWAS Parliament for which applications are hereby invited.
Type: Job
Eligibility: 
  • Only citizens of ecowas Member States are eligible for appointment in ecowas Institutions and Agencies.
  • General Service positions are open to only candidates resident in the host country of the Institution.
  • In the case of permanent positions, only candidates whose age is less than fifty (50) years at the time of appointment are eligible for consideration.
Number of Awards: Numerous
Value of Program: Salary is based on grades
How to Apply: Application is on-line, and application forms as well as guidelines for application are all available on the websites. Click on the vacant position to see all details concerning it.

Candidates wishing to be considered for the post should download (JOB APPLICATION FORM), fill it and send it as an attachment to the following email address: gstaffparlrecruit@ecowas.int with their CVs.

Visit Program Webpage for details
Award Provider: ECOWAS Parliament

13 May 2017

Vodacom League Standings- Msimamo wa Ligi Kuu Vodacom Tanzania


No automatic alt text available.

African Proverb: If you escaped from the lion's den, why go back for your hat
  Meaning: In the pursuit of our dreams, we must make conscious effort not to allow petty things to distract or derail us from the path of success. We must understand that some things are simply irreplaceable. A hat can be replaced but life is irreplaceable. And for that matter, we will do well to handle life with all seriousness. To die for such a thing as a hat would not be a brave act but a brainless act. If you have managed to overcome a big challenge such as drug addiction, why chase after little little things that will lead you back to that dangerous path? If a "joke" nearly ruined your marriage or relationship, why play another similar joke? If you nearly died as a result of your careless actions, why not take your cue from that incidence? Life does not always give us second chances. That's why we must optimize any chance we get. It could be our last chance. Be focused!

EPL Results & Fixtures

EPL Results & Fixtures

No automatic alt text available.

Ratiba Ya Mechi za Ligi Kuu Soka Tanzania Bara Leo na Kesho

No automatic alt text available.

Vikosi Vya Yanga vs Mbeya City Leo

Image may contain: text

12 May 2017

Chelsea Kutangaza Ubingwa Leo?? Angalia Mechi LIVE


Antonio Conte, timu nzima ya Chelsea na mashabiki huenda wakawa na usiku mzuri sana leo iwapo tu watashinda mechi yao dhidi ya West Bromwich.
Ikiwa na pointi 84 kileleni mwa ligi, The Blues wanahitaji pointi tatu pekee ili waweze kutwaa uchampioni wa soka nchini Uingereza kwa msimu wa 2016/2017.

Mchezo huo utakaochezwa kwenye uwanja wa West Brom, The Hawthorns utaanza saa nne usiku na unaweza kuutazama kwa kubonyeza HAPA

9 May 2017

Msimamo wa Ligi Kuu Baada ya Ushindi wa Yanga 2 - 1 Kagera Sugar‬

No automatic alt text available.

BALE KUTUA OLD TRAFFORD?

Gareth Bale huenda akarejea Uingereza kuungana na Jose Mourinho pale Manchester United. Ripoti kutoka Hispania zinadai mchezaji huyo raia wa Wales ameshaafikiana na Mourinho kuhusu masuala ya msingi yanaendana na kuhamia kwake kwenda Old Trafford kilichobaki ni Manchester United kubeba taji la EUROPA ili msimu ujao wawepo kwenye Klabu bingwa Ulaya (UEFA CHAMPIONS LEAGUE).

Gazeti la Dario Gol limenukuliwa likisema mchezaji huyo hataki kuhama kwenda kwenye timu ambayo haiko kwenye michuano ya klabu bingwa na kwa hali ilivyo, matumaini makubwa ya Manchester kucheza klabu bingwa ni kuchukua kombe la EUROPA. United iko katika nafasi ya tano kwenye msimamo wa ligi ikiwa na pointi 65, pointi nne nyuma ya majirani zao Manchester City wanaokalia nafasi ya tatu.

Manchester United wako katika nafasi nzuri ya kuingia fainali kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Celta Vigo kwenye mchezo wa kwanza wa nusu fainali. Fainali za EUROPA zitafanyika siku ya Jumatano ya tarehe 24, Mei kwenye uwanja wa Friends Arena- Stockholm nchini Sweden.

HUYU HAPA KOCHA MPYA WA TIMU YA TAIFA YA UHOLANZI

Baada ya kumtimua kocha Danny Blind ambaye pia ni baba wa mchezaji wa Manchester United, Daley Blind; timu ya taifa ya Uholanzi imemteua Dick Advocaat kuwa kocha mpya wa timu hiyo.

Advocaat anarithi majanga yaliyoachwa na Blind na ana kazi ngumu ya kuhakikisha timu hiyo inafuzu kwa fainali za kombe la dunia zitakazofanyika mwaka 2018 huko Urusi na atasaidiwa na mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Uholanzi, Ruud Gullit.

Mpaka sasa, timu ya taifa ya Uholanzi inakamata nafasi ya nne kwenye Group A lenye timu za Ufaransa, Sweden, Bulgaria, Belarus na Luxembourg.

Uholanzi imecheza mechi tano, kushinda mbili, kutoa sare mechi moja na kufungwa mechi mbili; wako nyuma ya vinara wa kundi Ufaransa kwa tofauti ya pointi sita.

8 May 2017

Ni Vigumu Sanaa Messi Kufikia Rekodi Hii Mpya ya Ronaldo

Image may contain: 1 person

Premier League Standings-Msimamo Ligi Kuu Uingereza(EPL)

No automatic alt text available.

Samatta alivyofunga na kutengeneza bao moja katika ushindi wa mabao 2-1 (Picha 20)

 
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta aliifunga na kutengeneza bao moja katika ushindi wa mabao 2-1 ilioupata  klabu yake ya Genk dhidi ya Eupen usiku wa kuamkia leo.
Samatta alianza kuchangia ushindi wa Genk mnamo dakika ya 18 alipopiga krosi ya chini iliyookolewa na beki wa Eupen na kumaliziwa na Jerre Uronen.
Dakika 10 baadaye, Samatta aligeuka mfungaji baada ya kupenyezewa pasi na Thomas Buffel na kuambaa na mpira kisha akamchambua kipa wa Eupen kuiandikia Genk bao la pili.
Mnaijeria Henry Onyekuru aliifungia Eupen bao la kufutia machozi dakika ya 75
Genk iko kileleni mwa msimamo wa kundi B la mchujo wa kuwania kucheza Europa msimu ujao
 
7 May 2017

Arsenal wamekatisha rekodi ya Manchester united

Arsenal wamekatisha rekodi ya Manchester united ya kutopoteza mchezo wa Ligi kuu Uingereza tangu Oktoba mwaka jana.
 Image may contain: textNo automatic alt text available.

Msimamo wa Ligi Kuu VodacomTanzania Bara kwa Sasa

No automatic alt text available.

6 May 2017

Matokeo ya Mzunguko wa 28 wa Ligi Kuu Tanzania Jana & Ratiba Jumapili Hii(Leo)

Mzunguko wa 28 wa Ligi Kuu Vodacom Tanzania Bara umeendelea leo na matokeo ni kama ifuatavyo:
FT: Azam FC 3 - 1 Mbao FC
FT: Young Africans 2 - 0 Tanzania Prisons
FT: Toto Africans 2 - 1 JKT Ruvu
FT: Majimaji 3 - 0 Mwadui FC
FT: Ruvu Shooting 1 - 1 Kagera Sugar

Usikose kuangali mechi nyingine ya mzunguko huu wa 28 itakayochezwa kesho Uwanja wa Taifa, Jijini Dar es Salaam kati ya Simba SC na African Lyon, Saa 10:00 jion Azam TWO.
Je, Simba wenye alama 59 katika nafasi ya pili sawa na vinara Yanga, wataweza kuwashusha Watani wao hao wa jadi ?
 No automatic alt text available.
VPL  Jumapili Hii  
 

 

Gallery